Msanii Keneh amshirikisha Boywonda toka FBG katika pini jipya kabisa "TUZIRUDI" ikiwa ni Afropop kwa wapenda Clubbing kote duniani, Wimbo huu ni release ya pili ya kwake mwanadada huyu toka pande za Arachuga mwenye maskani yake Nairobi Muda mwingi kutokana na kuwa katika Masomo ya ngazi ya chuo, "Nimerecord hii song Noizmekah Studios and for sure ni kitu tofauti sana na nyimbo zilizopo Tanzania hivyo nazidi omba support ya fans wangu wote all over na pia Media houses zote. Download HAPA and enjoy

Download | Keneh ft BoyWonda - Tuzirudi (NOIZ) [Audio]
Reviewed by Nolniz
on
Monday, March 11, 2013
Rating:
No comments: