728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
11 March 2013

Download | Veejay ft Catrina - Mbele kwa Yesu [Audio]


"Mbele kwa Yesu" ni wimbo mpya wa injili toka Noizmekah Studios Arusha wa msanii Veejay anayefahamika sasa kama 'MWINJILISTI VICTOR JOHN, akiwa amemshirikisha mwanadada Catrina wa GreenHouse Records. Ngoma hii iwafikie Vijana wote hususani wa kitanzania tunaopambana na maisha katika nyakati za majaribu, Shukrani tele ziende kwa watanzania wote wanaokubali kazi zangu na ombi langu kuu ni support kutoka kwa wadau wa muziki wa injili katika media mbalimbali duniani. Download wimbo HAPA na Bwana Mungu akuzidishie baraka,
Kwa mawasiliano/mahojiano/Mialiko/Maombezi na msanii wa injili Victor John aka Veejay piga simu
 +255 716 941 696
 
Download | Veejay ft Catrina - Mbele kwa Yesu [Audio] Reviewed by Nolniz on Monday, March 11, 2013 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: