728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 March 2013

LIL CRISZZY EP to be out APRIL



East African young rapper based in Australia LIL CRISZZY will be dropping his EP "LEOPARD BOY"
in APRIL 2013. Hili ndo cover lake alilopost rapper huyo mwenye swag za hatari na anayependwa
sana na mabinti katika account yake ya Instagram na twitter nakusema.. "The cover is looking good so far.."

Lil Criszzy kwa sasa anatamba na ngoma zake kali ikiwemo I GO HARD na MAKE IT CLAP ambazo zote kwa sasa zinapatikana katika vituo vikubwa vya TV kama vile ChannelO, TRACE URBAN na MTV.

By
//Janbonline team

LIL CRISZZY EP to be out APRIL Reviewed by Nolniz on Sunday, March 17, 2013 Rating: 5

[News][carousel1]

No comments: