Wednesday, April 24, 2013 G.Nako Ft. Ben Pol - MAMA YEYOO [Official Music Video] Reviewed by Nolniz on Wednesday, April 24, 2013 Rating: 5
kama vp na videoz mue mnaachia watu wanadownload au syo wana .. nolniz inawahusu
ReplyDeleteHaina shaka Mo. Tunashukuru kwa ushauri wako na tutaifanyia kazi
Deletepoa poa wana aminia sana blog yenu ngoma zote mpya napata kwenu b4 ata release day safi sana .. keep it up .
ReplyDeletenawakubar sana kwa ngoma mpya ni very fast.,,,,,,,,kama vp na ma video fanyen tuwetunachukua apo moja kwa zote..big up nolniz team
ReplyDeleteHamna shaka Lugano & tutafanya kuongea na wasanii kuhusu hilo na wakikubali tutakuwa tunaweka videos ambazo zitafaa kudownload
Delete