Msanii Lord Eyez toka kundi la N2N lenye makazi yake jijini Arusha hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyoifanya kwa P Funk Majani (Bongo Records) inayokwenda kwa jina "MAPITO" ndani akiongelea mengi na hasa ishu iliyomkuta akiwa DSM.
Akipiga story na Nolniz Blog, Lord anasema anampango wa kuachia ngoma hiyo Alhamisi ya wiki hii na hivyo kuwataka fans wake wasubirie mzigo huo na kujua ni kipi amewaandalia kwa awamu hii..!!
Stay tune, mzigo utadondoshwa hapa hapa kama ilivyo ada.
#ONE
No comments: