Hii ni brand new toka kwa Cannibal baada ya kuachia Legend iliyotambulika zaidi kwa video yake ya kipekee,Cannibal ameamua kufanya wimbo huu as a special dedication to his father,hii ni maalum kwa baba yangu mzazi,nimemkumbuka sana na natumai wote mtaipokea vizuri wakati nikiendelea kujiandaa na video itakayofanyika hivi karibuni "Cannibal"
Artist; Cannibal
Song; Bye Bye
Produced by Kanyeria & John Blass
A Bansoft/Grandmaster Records Production
No comments: