Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa.
Kutokana na maombi ya watu na msaada kwa ambao bado hawajafanikiwa kuyapata, imebidi kutafuta njia nyingine rahisi yenye hosting tofauti na ya NECTA ili kupatikana kwa matokeo kuwe kwa haraka na hivi ndivyo yalivyo....
Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wamefaulu.
Shule zilizoongoza ni
1. Marian Girls
2. Mzumbe
BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO
No comments: