Kichomi Dax anayerep kundi la North Dwellers ambao wamekuja kwa kasi na wimbo wao unaoitwa Original hivi karibuni anafungua mwaka kwa anthem hii "Pande zao" akiwa amewashirikisha Jambo Squad walioibuka kuwa kundi bora la mwaka 2013 pamoja na Dotto - D Wa maujanja Saplayaz wanakwambia Pande Zao mpango mzima toka Grandmaster Records chini ya John Blass na Dj Az ambaye kwa sasa yupo India kuendeleza shughuli zake za muziki.
Download & Sikiliza pande zao hapa
No comments: