Baada ya Linex kuanzisha Biashara Ya Kurekodi Nyimbo Maalum Kwa Maharusi, Mteja Wake Wa Kwanza alikuwa Ni Miraj Kikwete..
Kwa wengine wanao oa au kuolewa na wangependa kupata wimbo unao wahusu wao / wewe na mpenzi wako, mmetoka wapi mpaka mmefunga ndoa, mnaweza Wasiliana na Voa Music Label kupitia 0656411988 au linexkitaaa@yahoo.com/ kupata nyimbo special kwa ajili yenu
No comments: