Ngoma inakwenda kwa jina "Sound Track" ya msanii ambae pia ni choreographer wa Dance mbalimbali za wasanii wengi wakubwa akitokea Tanzania House Of Talents (THT), kazi imefanywa na Producer Mkomoro Djoban ambae ameproduce Hit kama Kibaba ya Makomando,Sex -by Rachel na nyingine kibao.
kwa mawasiliano zaidi/Mahojiano na Promotion check na Msami kwa Nambari +255 719 100 535 +255 716 483 645
No comments: