Collabo ya Arusha na Bagamoyo, Click HAPA kusikiliza/ku-download ngoma ya msanii wa Hiphop Budz akiwa amewashirikisha BouNako, Moplus, G.Fasih pamoja na BadSpenderz. ngoma inaitwa "End of the Beginning" ikiwa ni beat toka Rukkamel records kule Bagamoyo na vocalz & mixing zimefanywa studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na BUDZ check nae kwa simu nambari +255 654 514 781

No comments: