BouNako katika kujiandaa kudrop Album yake hivi karibuni anakupa single "Nimejifunza" ikiwa ni ngoma toka Noizmekah chini ya Defxtro, amemshirikisha J Deal katika chorus, kuDownload/Kuisikiliza Bofya HAPA na kwa maelezo/Mahojiano zaidi check na BouNako kwa Namba +255 718 396 869 na J Deal kwa +255 718 515 772

No comments: