Evoul akiwakilisha Moshi na Arachuga anakuja na ngoma mpya "Stanza Kaskazini" ikiwa ni Hiphop category toka Noizmekah Studios chini ya defxtro, bofya HAPA kuisikiliza/ku-download na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na rapper Evoul kwa nambari +255 716 945 256
No comments: