Vatoloco Gangz wakiwa katika mchakato wa kumalizia mixtape wanadrop ngoma ya "Deadliest Men" ikiwa ni HipHop style ya Grime iliyo maarufu zaidi Uingereza, kusikiliza/Kudownload click HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check nao kwa Nambari +255 719 775 303 au +255 769 010 005
No comments: