Rapper "No Name" akiwakilisha Kundi la WEST PASU toka Moshi town mkoa Kilimanjaro anakuja na ngoma "Mungu Ananidere" akiwa amemshirikisha Mkongwe "BouNako" toka N2N soldiers, ngoma ni Hiphop category bofya HAPA kuisikiliza/ku-download na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na No-Name kwa nambari +255 719 812 262

No comments: