Anakuja Msanii rapper "Papondi Pala" na wimbo kwa jina "HUSIKA" ikiwa ni ngoma juu ya beat ya Daz Knaledge na vocal/mixing pande za Noizmekah Studios Arusha chini ya Defxtro, bofya HAPA kuisikiliza/kudownload na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Papondi Pala kwa nambari +255 715 779 771
No comments: