Huyu hapa Alikiba na wimbo wake mpya 'Mwana (Dar-es-salaam)' kazi yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa na wengi kujua ni kipi hasa Star huyu anarudi nacho baada ya ukimya mrefu.
usikilize na usisite kuacha comment yako kuhusiana na kazi hii kwani tunauhakika amefanya kwa ajili ya faans wake na anahotaji kusikia kutoka kwenu....
Enjoy!!!!
Artist:- ALLY KIBASong Name:- MWANACountry:- TanzaniaGenre:- Bongo Flavour,Produced by: MAN WALTERStudio:- Combination Sound
No comments: