Kama umepata kuusikiliza wimbo wa Yemi Alade 'Johnny' basi huu hapa tunaweza uita Remix au toleo lake la kiswahili japo huku amezungumziwa 'Irene'.
Waweza usikiliza au ku download wimbo mpya wa Lolaa Negro and Byta - Irine Oooo (Johny Remix) hapa na kutuachia comment yako juu ya kazi hii...
Enjoy!!
No comments: