728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
31 July 2014

Download | Professor Jay feat. J Hustle & Nigga J - Tatu Chafu [Audio]

Tatu Chafu by Professor J

Tatu Chafu ni wimbo mpya kutoka kwa Professor Jay ambao humo ndani utamsikia Professor Jay, J Hustle na Nigga J.
 Lakini wote hao nyuma ya pazia ni kama wimbo wa Story Tatu wake stopa kwani humu kajishirikisha mwenyewe, yaani wimbo wa Profesa Jay na wameshirikishwa Nigga Jay na Jay Hussle. Ukiwa mfuatiliaji mzuri upande wa jina la Nigga Jay ni jina alilokuwa akilitumia Profesa Jay kabla ya kubadilisha jina na kulitumia hili alilo nalo kwa sasa......
Nadhani maelezo yamejitosheleza au sio??
Enjoy!!!


Download | Professor Jay feat. J Hustle & Nigga J - Tatu Chafu [Audio] Reviewed by Nolniz on Thursday, July 31, 2014 Rating: 5

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: