728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
07 July 2014

New Video | Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo [Official Music Video]



Hii hapa ni 'Mdogo Mdogo' video mpya ya Diamond Platnumz ikiwa ni official release baada ya kutamba na video ya wimbo ulioitangulia wa 'My Number One' na inasemekana kuwa video zake mbili mpya (Mdogo Mdogo na Bum Bum aliyomshirikisha Iyanya) kwa ujumla zimemgharimu zaidi ya shilingi milioni mia moja na thelathini na nne (M134 Tsh) Vipi unahisi hii pia itafanya poa na kwa gharama aliyowekeza???
Itazame hapo chini



Youtube Direct Link <
New Video | Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo [Official Music Video] Reviewed by Nolniz on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

Labels:

[Video][carousel1]

No comments: