Muite Ramaa Star (Classic) baada ya kunyanyuliwa kama Super Nyota wa mkoa wa Morogoro 2014/15 hii hapa kazi yake ya kwanza inakwenda kwa jina la SINA HABARI NAO akiwa amemshirikisha Bright. Producer Gs. Vipi unaionaje kazi hii?? Sunday, July 20, 2014 Ramaa Star ft Bright - Sina Habari Nao [Audio] Reviewed by Nolniz on Sunday, July 20, 2014 Rating: 5
No comments: