Wimbo mpya wa Mudy Mc akiwa amemshirikisha Ordinally wa Jambo Squad katika ngoma kwa jina "Simu Imewaka" ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios Arusha chini ya Defxtro, ikiwa ni dancehall category, kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na MUDY MC kwa nambari +255 768 645 717
No comments: