Download Wimbo mpya kabisa kutoka Young Killer Msodoki akiwa ameeshirikiana na mkongwe wa Hip Hop Tanzania, Fid Q pamoja na Belle 9. Wimbo huu umetayarishwa na maproducer wanne yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga na Lol Pop. Wimbo unaitwa 13.
Enjoy
No comments: