Msimu wa Christmas ndio huu unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndio huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania pia ni mwimbaji na mwalimu wa muziki Tanzania House of Talent.
No comments: