Shukrani kwa mapokezi mazito ya "East African Gere Remix" Salute kwa support yenu katika kuidownload mkito na Requests Redioni. Kama Tulivyoahidi kuwapa Deejay Version aka "Rudmixx" Tarehe 19 Januari basi leo tumefanya hivyo. Hope mtaenjoy na mtaendelea kushow support kwetu WEUSI.
Enjoy
No comments: