Jebby aliyetamba na wimbo "Swahiba" feat. Afande Sele, leo ametambulisha ngoma yake mpya inaitwa "Love Matata" chini ya mtayarishaji Mazuu wa Mazuu Records. Hii ikiwa ni miaka saba tangu atoe ngoma yake ya mwisho mwaka 2007 iliyoitwa "Marehemu ameacha Orodha"
Jebby ameitambulisha ngoma mpya kwenye kipindi cha Bongo flava na Adam Mchomvu, na alipoulizwa sababu ya ukimya wake akafunguka kuwa aliamua kupumzika na kujishughulisha na biashara zake binafsi.
Sikiliza ngoma hii pakua unavyotaka, watumie marafiki ila usiifanyie biashara.
Enjoy!!
©S-B
No comments: