Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kutoa surprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania kwa wimbo wake mpya aliomshirikisha nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince. Artist: Jokate Feat Ice Prince Track : Leo Leo Producers: Aloname na Tudd Thomas
No comments: