Download hapa wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O kutoka Afrika Kusini ukiwa umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa South Africa aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu.
Enjoy!!
No comments: